Sugu awaomba viongozi kuutumia Mwezi Mtukufu kujitathmini

Mbunge wa Mbeya, Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tiketi ya CHADEMA amewaomba viongozi nchini kuutumia mwezi mtukufu kujitathmini. Akizungumza leo Mei 21, kwa mara ya kwanza Bungeni tangu atoke gerezani kwa msamaha wa Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewatakia Waislam wote mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhan. “Naomba niwatakie ndugu zangu Waislam mfungo mwema, Kwa wale viongozi naomba muutumie Mwezi Mtukufu kujitathmini, sheria hii pamoja sheria mbovu za habari zinazowabana wananchi kupata habari pia zinatumika kufunga watu jela kisiasa kwa mfano...

read more...

Share |

Published By: Bongo5 - Monday, 21 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News