Snura Afungukia Bifu lake na Shilole

Mwanamuziki wa Bongo fleva Snura Mushi Majanga amefunguka kuhusu uwezo wa bifu lake na msanii mwenzake wa Bongo fleva Shilole. Kwa muda mrefu kumekuwa na habari za kuwepo kwa bifu kati ya Shilole na Snura huku siku za nyuma wasanii hao walionekana wakibishana na hata kurushiana maneno. Lakini Snura amedai hivi sasa hakuna bifu kati yake na Shilole kwani mambo yaliyotokea siku za nyuma yameachwa huko na hivi sasa wameendeleea mbele Snura alifunguka hayo Kwenye mahojiano na Bongo 5, ambapo amedai hata tuzo yake aliyopewa na Aunty Ezekiel yeye ndio...

read more...

Share |

Published By: Ghafla - Sunday, 20 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News