OKWI: Sintamsahau Kaseja maishani mwangu

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, amesema kuwa licha ya timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara, kamwe hawezi kumsahau kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja kwa kitendo chake alichomfanyia juzi Jumamosi katika Uwanja wa Taifa, Dar.Juzi Jumamosi, Kaseja alidaka penalti ya Okwi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na kuiwezesha timu yake ya Kagera Sugar kuvunja rekodi ya Simba ambayo ilikuwa ikiishikilia ya kutofun­gwa katika ligi hiyo msimu huu.Katika mchezo huo ambao ulikuwa ni wa mwisho wa Simba katika uwanja wake wa nyumbani na ambao pia ulishuhudiwa na...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Monday, 21 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News