Mtoto ni Wa Kwangu na Damu Yangu Sina Problem:-Mo Jay

Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Gigy Money amefunguka ka kujibu tuhuma za Gigy Money kuhusu swala la Gigy Money kutangaza rasmi kuwa mtoto wake sio wa Mo Jay na kwamba yeye ndio anajua ukweli kuhusu baba wa mtoto. Akiongea na Clouds Media, mo jay anasema kuwa yeye anachoamini ni kuwa mtoto ni wa kwake kwa sababu anajua hilo lakini pia hayta mtoto akikuwa watu wataona mtoto atakavyo kuwa na pia yuko tayari kwa vipimo vya DNA kuthibitisha. mtoto ni wa kwangu na tena ni damu yangu kabisa wala sina problem na...

read more...

Share |

Published By: Ghafla - Sunday, 20 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News