Mama Diamond Afunguka kisa cha Diamond kumpiga vibaya Hamisa Mobetto

BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ amempa ‘vitasa’ mwanamitindo Hamisa Mobeto, Bongo Waves limemtafuta bi mkubwa huyo na kufanya naye mahojiano maalum (exclusive) ambapo amefungukia sakata hilo kwa kirefu.Mama Diamond alifungukia hilo la kumpiga Mobeto ambaye amezaa mtoto mmoja na mwanaye, Jumanne iliyopita katika mahojiano maalum yaliyofanyika katika duka la bintiye, Esma Khan ‘Esma Platnumz’ lililopo maeneo ya Afrika Sana jijini Dar.ISHU ILIPOANZIAMama Diamond alisema ishu hiyo ilianzia Mei 13, mwaka huu mara baada ya yeye...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Saturday, 19 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News