Lulu DIva na Rich Mavoko Waendelea Kuficha Penzi Lao

Msanii wa Bongo fleva kutoka katika label ya WCB Rich Mavoko na msanii mwenzake Lulu Diva wamedaiwa kuendelea kuficha penzi lao. Kwa muda mrefu imekuwa ikisemekana kuwa Lulu DIva na Rich Mavoko ni wapenzi na hata tetesi hizo zimesapotiwa na picha zao mbali mbali ambazo zimekuwa zikionekana wakiwa pamoja. Tetesi za wawili hawa kuwa pamoja zilianza tangu mwaka jana baada ya kudaiwa Lulu Diva ametoswa na mpenzi wake na hata mahari yake aliyotolewa kirudishwa baada ya kudaiwa kuchepuka na Mavoko. Baada ya kutoa wimbo wao unaoitwa Ona unaofanya vizuri kwa...

read more...

Share |

Published By: Ghafla - Sunday, 20 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News